- 
	                        
            
            Yoshua 8:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
24 Baada ya Waisraeli kumaliza kuwaua wakaaji wote wa Ai nyikani, ambako waliwafuatia na kumuua kila mmoja wao kwa upanga, Waisraeli wote walirudi Ai na kuwaua kwa upanga watu waliobaki jijini.
 
 -