Yoshua 8:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Akamtundika mtini mfalme wa Ai mpaka jioni, na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akaagiza maiti yake iondolewe mtini.+ Kisha wakaitupa kwenye lango la jiji na kurundika mawe mengi juu ya maiti hiyo, na rundo hilo lipo mpaka leo.
29 Akamtundika mtini mfalme wa Ai mpaka jioni, na jua lilipokaribia kutua, Yoshua akaagiza maiti yake iondolewe mtini.+ Kisha wakaitupa kwenye lango la jiji na kurundika mawe mengi juu ya maiti hiyo, na rundo hilo lipo mpaka leo.