Yoshua 10:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Ndipo wafalme watano wa Waamori,+ yaani, mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni wakakusanyika pamoja na majeshi yao, wakaenda kupiga kambi ili kulishambulia jiji la Gibeoni.
5 Ndipo wafalme watano wa Waamori,+ yaani, mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni wakakusanyika pamoja na majeshi yao, wakaenda kupiga kambi ili kulishambulia jiji la Gibeoni.