Yoshua 10:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Waisraeli wote wakarudi salama kambini kwa Yoshua kule Makeda. Hakuna mtu aliyethubutu kusema neno lolote* dhidi ya Waisraeli.
21 Waisraeli wote wakarudi salama kambini kwa Yoshua kule Makeda. Hakuna mtu aliyethubutu kusema neno lolote* dhidi ya Waisraeli.