Yoshua 10:23 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Basi wakawatoa pangoni wafalme hawa watano na kuwaleta kwake: mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.+
23 Basi wakawatoa pangoni wafalme hawa watano na kuwaleta kwake: mfalme wa Yerusalemu, mfalme wa Hebroni, mfalme wa Yarmuthi, mfalme wa Lakishi, na mfalme wa Egloni.+