Yoshua 15:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Mpaka wa mashariki ulianzia kwenye Bahari ya Chumvi hadi mahali ambapo Mto Yordani unaingia katika Bahari ya Chumvi, na mpaka wa kaskazini ulianzia mahali ambapo Mto Yordani unaingia katika Bahari ya Chumvi.+
5 Mpaka wa mashariki ulianzia kwenye Bahari ya Chumvi hadi mahali ambapo Mto Yordani unaingia katika Bahari ya Chumvi, na mpaka wa kaskazini ulianzia mahali ambapo Mto Yordani unaingia katika Bahari ya Chumvi.+