Yoshua 16:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 na mpaka huo ulifika kwenye bahari. Mikmethathi+ ilikuwa upande wa kaskazini, na mpaka huo ulizunguka upande wa mashariki hadi Taanath-shilo, kuelekea upande wa mashariki hadi Yanoa.
6 na mpaka huo ulifika kwenye bahari. Mikmethathi+ ilikuwa upande wa kaskazini, na mpaka huo ulizunguka upande wa mashariki hadi Taanath-shilo, kuelekea upande wa mashariki hadi Yanoa.