-
Yoshua 18:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Chagueni wanaume watatu kutoka kila kabila ili niwatume; watazunguka katika nchi yote na kuchora ramani kulingana na urithi wao. Kisha wataniletea habari.
-