Yoshua 18:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Na mpaka huo uligeuka upande wa magharibi kuelekea kusini kutoka kwenye mlima unaotazamana na Beth-horoni upande wa kusini; nao ukafika Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ jiji la Yuda. Huo ndio mpaka wa magharibi.
14 Na mpaka huo uligeuka upande wa magharibi kuelekea kusini kutoka kwenye mlima unaotazamana na Beth-horoni upande wa kusini; nao ukafika Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ jiji la Yuda. Huo ndio mpaka wa magharibi.