-
Yoshua 22:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Baada ya Finehasi mwana wa kuhani Eleazari na wale wakuu kukutana na watu wa kabila la Rubeni na Gadi katika nchi ya Gileadi wakarudi katika nchi ya Kanaani na kuwaambia Waisraeli wengine habari hizo.
-