-
Yoshua 22:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Na Waisraeli wakaridhika na habari hizo. Wakamsifu Mungu na kuacha mipango ya kupigana na watu wa kabila la Rubeni na Gadi na kuiharibu nchi yao.
-