Waamuzi 4:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Baraka akawaita watu wa kabila la Zabuloni na Naftali+ waje Kedeshi, na wanaume 10,000 wakamfuata. Debora pia akamfuata.
10 Baraka akawaita watu wa kabila la Zabuloni na Naftali+ waje Kedeshi, na wanaume 10,000 wakamfuata. Debora pia akamfuata.