-
Waamuzi 4:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kisha Yaeli akatoka nje kumpokea Sisera, akamwambia, “Karibu bwana wangu, karibu ndani. Usiogope.” Basi akaingia ndani ya hema lake, naye Yaeli akamfunika kwa blanketi.
-