Waamuzi 6:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Gideoni akamjibu, “Niwie radhi, Yehova. Ninawezaje kuwaokoa Waisraeli? Ukoo wangu ndio mdogo* zaidi katika kabila la Manase, nami ni mdogo kabisa katika nyumba ya baba yangu.” Waamuzi Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 6:15 w00 8/1 16-17 Waamuzi Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 6:15 Mnara wa Mlinzi,8/1/2000, kur. 16-17
15 Gideoni akamjibu, “Niwie radhi, Yehova. Ninawezaje kuwaokoa Waisraeli? Ukoo wangu ndio mdogo* zaidi katika kabila la Manase, nami ni mdogo kabisa katika nyumba ya baba yangu.”