Waamuzi 6:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Usiku huo Yehova akamwambia, “Mchukue ng’ombe dume mchanga wa baba yako, ng’ombe dume mchanga wa pili mwenye miaka saba, nawe ubomoe madhabahu ya Baali ambayo ni ya baba yako, na ukate mti mtakatifu* ulio kando yake.+
25 Usiku huo Yehova akamwambia, “Mchukue ng’ombe dume mchanga wa baba yako, ng’ombe dume mchanga wa pili mwenye miaka saba, nawe ubomoe madhabahu ya Baali ambayo ni ya baba yako, na ukate mti mtakatifu* ulio kando yake.+