28 Wakaaji wa jiji walipoamka asubuhi na mapema, waliona kwamba madhabahu ya Baali ilikuwa imebomolewa na ule mti mtakatifu uliokuwa kando yake ulikuwa umekatwa, na yule ng’ombe dume mchanga wa pili alikuwa ameteketezwa juu ya madhabahu iliyokuwa imejengwa.