-
Waamuzi 6:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Akatuma wajumbe katika nchi yote ya kabila la Manase, wakakusanyika pia na kumfuata. Akatuma pia wajumbe kotekote katika nchi ya Asheri, Zabuloni, na Naftali, nao wakaja kukutana naye.
-