-
Waamuzi 7:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Lakini Yehova akamwambia hivi Gideoni: “Watu hawa bado ni wengi sana. Wapeleke kwenye maji ili niwajaribu kwa ajili yako. Mtu yeyote nitakayekuambia, ‘Huyu ataenda pamoja nawe,’ ataenda pamoja nawe, lakini yeyote nitakayekwambia, ‘Huyu hataenda pamoja nawe,’ basi hataenda.”
-