Waamuzi 7:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Sikiliza wanayosema, nawe utapata ujasiri wa* kuwashambulia.” Ndipo yeye na Pura mtumishi wake wakashuka mpaka ukingoni mwa kambi hiyo ya kijeshi.
11 Sikiliza wanayosema, nawe utapata ujasiri wa* kuwashambulia.” Ndipo yeye na Pura mtumishi wake wakashuka mpaka ukingoni mwa kambi hiyo ya kijeshi.