-
Waamuzi 8:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Gideoni na wale wanaume 300 waliokuwa pamoja naye wakafika Yordani na kuvuka. Ingawa walikuwa wamechoka, waliendelea kuwafuatia maadui wao.
-