-
Waamuzi 8:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Akawaambia watu wa Sukothi, “Tafadhali wapeni mikate watu walio pamoja nami, kwa kuwa wamechoka nami ninawafuatia Zeba na Zalmuna, wafalme wa Midiani.”
-