-
Waamuzi 8:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Alipokuwa njiani, alimkamata kijana mmoja wa Sukothi na kumuuliza maswali. Basi kijana huyo akamwandikia majina 77 ya wakuu na wazee wa Sukothi.
-