-
Waamuzi 8:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Ndipo akasema, “Ni ndugu zangu, wana wa mama yangu. Kwa hakika kama Yehova anavyoishi, ikiwa hamngewaua, mimi pia singewaua ninyi.”
-