-
Waamuzi 9:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Ndipo mkwamba ukaiambia miti hiyo, ‘Ikiwa kweli mnanitia mafuta niwe mfalme wenu, njooni mkae chini ya kivuli changu. Kama sivyo, moto na utoke ndani yangu na kuiteketeza mierezi ya Lebanoni.’
-