-
Waamuzi 9:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Gaali alipowaona, akamwambia Zebuli, “Tazama! Kuna watu wanaoshuka kutoka milimani.” Lakini Zebuli akamwambia, “Unaona vivuli vya milima ukifikiri ni watu.”
-