-
Waamuzi 9:48Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
48 akapanda Mlima Salmoni pamoja na watu wake. Akachukua shoka, akakata tawi la mti na kulibeba begani, akawaambia hivi watu wake: “Mlivyoona nikifanya, fanyeni vivyo hivyo haraka!”
-