-
Waamuzi 9:49Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
49 Basi watu wote wakakata pia matawi na kumfuata Abimeleki. Kisha wakayaweka kuzunguka ile ngome na kuiteketeza. Na watu wote waliokuwa ndani ya mnara wa Shekemu wakafa pia, watu karibu 1,000, wanaume na wanawake.
-