-
Waamuzi 9:51Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
51 Kulikuwa na mnara imara katikati ya jiji hilo, wanaume na wanawake wote, na viongozi wote wa jiji hilo wakakimbilia humo. Wakajifungia ndani yake na kupanda juu ya paa lake.
-