-
Waamuzi 9:54Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
54 Abimeleki akamwita haraka mtumishi aliyembebea silaha na kumwambia, “Chomoa upanga wako uniue, watu wasije wakasema, ‘Mwanamke ndiye aliyemuua.’” Basi mtumishi wake akamchoma upanga, naye akafa.
-