-
Waamuzi 11:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Waamoni walipokuwa wakipigana na Waisraeli, wazee wa Gileadi wakaenda mara moja kumchukua Yeftha kutoka katika nchi ya Tobu.
-