Waamuzi 11:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Lakini Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi, “Je, si ninyi mlionichukia sana na kunifukuza kutoka nyumbani mwa baba yangu?+ Kwa nini mnanijia sasa mkiwa na matatizo?”
7 Lakini Yeftha akawaambia wazee wa Gileadi, “Je, si ninyi mlionichukia sana na kunifukuza kutoka nyumbani mwa baba yangu?+ Kwa nini mnanijia sasa mkiwa na matatizo?”