-
Waamuzi 13:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Basi Manoa akachukua mwanambuzi na toleo la nafaka, akamtolea Yehova juu ya mwamba. Naye akafanya jambo la kushangaza huku Manoa na mke wake wakitazama.
-