-
Waamuzi 13:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Mwali wa moto ulipokuwa ukipaa kuelekea mbinguni, malaika wa Yehova akapaa katika huo mwali uliotoka katika madhabahu huku Manoa na mke wake wakitazama. Basi wakaanguka chini kifudifudi.
-