3 Lakini baba yake na mama yake wakamwambia, “Je, huwezi kupata mke kati ya watu wetu wa ukoo na kati ya ndugu zetu wote?+ Je, ni lazima uoe mke kutoka kati ya Wafilisti wasiotahiriwa?” Lakini Samsoni akamwambia baba yake, “Niletee mwanamke huyo, kwa sababu ndiye anayenifaa.”