Waamuzi 14:16 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 16 Basi mke wa Samsoni akamlilia na kusema, “Hakika unanichukia; hunipendi.+ Uliwategea watu wangu kitendawili, lakini hujaniambia maana yake.” Samsoni akamwambia, “Hata sijamwambia baba yangu wala mama yangu! Nikwambie wewe?”
16 Basi mke wa Samsoni akamlilia na kusema, “Hakika unanichukia; hunipendi.+ Uliwategea watu wangu kitendawili, lakini hujaniambia maana yake.” Samsoni akamwambia, “Hata sijamwambia baba yangu wala mama yangu! Nikwambie wewe?”