-
Waamuzi 15:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Halafu akaiwasha moto ile mienge na kuwaachilia mbweha hao waingie katika mashamba ya nafaka ya Wafilisti. Basi akateketeza kila kitu kuanzia masuke mpaka nafaka iliyo shambani, na pia mashamba ya mizabibu na ya mizeituni.
-