-
Waamuzi 15:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Wakamwambia, “Usiogope, tutakufunga tu na kukupeleka kwao, lakini hatutakuua.”
Basi wakamfunga kwa kamba mbili mpya na kumtoa mwambani.
-