-
Waamuzi 15:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kisha akahisi kiu sana, akamlilia Yehova akisema, “Ni wewe uliyemtumia mtumishi wako kuleta ukombozi huu mkubwa. Je, sasa nife kwa kiu na kuchukuliwa na watu wasiotahiriwa?”
-