-
Waamuzi 16:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Watu wa Gaza wakaambiwa, “Samsoni ameingia humu.” Basi wakamzingira na kumvizia usiku kucha kwenye lango la jiji. Wakakaa kimya usiku kucha, wakisema miongoni mwao, “Kesho asubuhi tutamuua.”
-