-
Waamuzi 16:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Lakini Samsoni akaendelea kulala mpaka usiku wa manane. Kisha akaamka na kung’oa malango ya jiji pamoja na miimo yake miwili na komeo. Akajitwika mabegani na kuipeleka kwenye kilele cha mlima ulio karibu na Hebroni.
-