-
Waamuzi 16:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Mioyo yao ilipojaa furaha wakasema, “Mwiteni Samsoni atutumbuize.” Basi wakamwita Samsoni kutoka gerezani ili awatumbuize; wakamsimamisha katikati ya nguzo.
-