Waamuzi 17:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi Mika akamwambia, “Kaa pamoja nami, uwe kama baba* na kuhani wangu. Nitakupa vipande kumi vya fedha kwa mwaka, mavazi, na chakula.” Kwa hiyo Mlawi huyo akaingia nyumbani mwake.
10 Basi Mika akamwambia, “Kaa pamoja nami, uwe kama baba* na kuhani wangu. Nitakupa vipande kumi vya fedha kwa mwaka, mavazi, na chakula.” Kwa hiyo Mlawi huyo akaingia nyumbani mwake.