Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Waamuzi 18:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Basi wanaume hao watano wakaendelea na safari na kufika Laishi.+ Wakaona jinsi wakaaji wa huko walivyoishi kama Wasidoni bila kumtegemea yeyote. Walikuwa watu watulivu wasio na wasiwasi,+ na hakukuwa na mtawala yeyote aliyewakandamiza wala kuwasumbua. Waliishi mbali sana na Wasidoni, na hawakushughulika na watu wengine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki