-
Waamuzi 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Walipokuwa umbali fulani kutoka nyumbani kwa Mika, wanaume walioishi karibu na Mika walikusanyika pamoja, wakawafuatia na kuwafikia wale watu wa kabila la Dani.
-