-
Waamuzi 18:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Walipowapigia kelele watu wa kabila la Dani, waligeuka na kumuuliza Mika, “Una shida gani? Kwa nini umekuja na umati huu?”
-