-
Waamuzi 18:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Ndipo wale wanaume wa kabila la Dani wakamwambia, “Usitufokee; la sivyo, wanaume hawa wenye hasira watakushambulia na kukuua wewe na watu wa nyumbani mwako.”
-