-
Waamuzi 18:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Basi watu wa kabila la Dani wakaendelea na safari, na Mika alipoona kwamba wamemzidi nguvu, akageuka na kurudi nyumbani kwake.
-