Waamuzi 19:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Lakini wanaume hao hawakumsikiliza, basi yule mtu akamtoa nje kwa nguvu suria* wake.+ Wakambaka na kumtendea vibaya usiku kucha mpaka asubuhi. Kisha kulipopambazuka wakamwacha aende zake.
25 Lakini wanaume hao hawakumsikiliza, basi yule mtu akamtoa nje kwa nguvu suria* wake.+ Wakambaka na kumtendea vibaya usiku kucha mpaka asubuhi. Kisha kulipopambazuka wakamwacha aende zake.