-
Waamuzi 20:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Siku hiyo Wabenjamini walikusanya wanaume 26,000 wenye mapanga kutoka katika majiji yao, na pia wanaume 700 mashujaa kutoka Gibea.
-