-
Waamuzi 20:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Basi wanaume wote wa Israeli wakatoka walipokuwa na kwenda kujipanga kivita kule Baal-tamari, na Waisraeli waliokuwa wakivizia wakatoka mahali walipokuwa wamejificha karibu na Gibea.
-